"Mlipuko huo ulikuwa mkali, kama tetemeko la ardhi," Suhail Saba, manusura wa shambulio la Kanisa la St. Porphyrios huko Gaza, alizungumza na BBC usiku wa Alhamisi iliyopita. Suhail anasema: “Kuta ...
Mamia ya watu walikusanyika katika kanisa la Uzawa katika mji mtakatifu kwa Wakristo wa Bethlehem Jumanne kuadhimisha Krismasi nyingine iliyogubikwa na vita katika Ukanda wa Gaza. Wakristo duniani ...