Mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko Alaska unaendelea kutawala vichwa vya habari katika magazeti ya Uingereza, Marekani na Urusi. Katika nakala yake ya ...
Ijumaa hii, tarehe 15 Agosti, macho ya dunia yataelekezwa Alaska ambako marais wa Marekani na Urusi, Donald Trump na Vladimir Putin, wanakutana ana kwa ana kujadili vita vya Ukraine na pia makubaliano ...
Viongozi kadhaa wa nchi za Ulaya wamealikwa kuhudhuria mkutano wa Jumatatu kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy katika Ikulu ya White House. Taarifa hiyo ...
Mkutano wa kilele wa kundi la mataifa tajiri na yale yanayoinukia kiuchumi duniani la G20 umefunguliwa rasmi siku ya Jumamosi mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika ...
"Unakaribishwa Downing Street. "Mnaungwa mkono na Waingereza kote Uingereza na tumedhamiria kabisa kukuunga mkono na kufikia amani ya kudumu kwa Ukraine," Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema ...
Wajumbe wa mkutano wa COP30 nchini Brazili wamefikia makubaliano ya kushughulikia ongezeko la uzalishaji wa gesi duniani. Makubaliano hayo yanaongeza fedha kwa nchi zinazoathiriwa na mabadiliko ya ...
"Tumekusanyika hapa wakati wakati hali inaenelea kuwa mbaya zaidi." Haya ndiyo maneno ambayo Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy alitumia kwa funguzi wa hotuba yake katika mkutano kuhusu ...
Japani, China na Korea Kusini zimefanya mkutano wa Mawaziri wa Afya na kukubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano katika nyanja ya huduma ya afya. Mkutano huo umefanyika faraghani jijini Seoul ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results