Mshambuliaji wa Norway, Erling Haaland, akiwa ameshika tuzo baada ya kuibuka mfungaji bora wa Ulaya katika kampeni ya kufuzu Kombe la Dunia 2026. Picha na Mtandao Mshambuliaji wa Norway, Erling ...
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa kitongoji cha Masaera, Ezekiel Temu aliyeuawa katika kijijini Masaera, mkoani Kilimanjaro. Moshi. Vilio na simanzi vimetawala ...
Basi la Kampuni ya Katarama kutoka Dar es Salaam likiwa limepinduka katika wilaya Kibaha, mkoani Pwani. Kibaha. Abiria kadhaa waliokuwa wakisafiri na basi la Kampuni ya Katarama kutoka Dar es Salaam ...
Katika uchaguzi huo, Samia alishindana na wagombea 16 kutoka vyama mbalimbali vya siasa, ambao wote ndio waliohudhuria kikao hicho na mkuu huyo wa nchi kujadili kuhusu mustakabali wa Taifa. Vita ya ...
Dar es Salaam. Mchakato wa uteuzi wa manaibu katibu wakuu wapya wa Chama cha Wananchi (CUF) umeiva, huku Baraza Kuu la Uongozi likisubiri kuitishwa kuthibitisha majina hayo. Hata hivyo, chama hakipo ...
Dar es Salaa. Athari za mapigano yanayoendelea katika nchi ya magharibi imeanza kung’ata nchini Tanzania kupitia ongezeko kubwa la bei za mafuta ambazo zitatumika Aprili mwaka huu, taarifa ya Mamlaka ...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameliomba Bunge kumuidhinishia Sh12.5 trilioni kwa mwaka 2026/27 huku akitoa maelekezo 11 likiwemo la kuanza kwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27 leo Aprili 1, 2026 bungeni Jijini Dodoma. Dar es ...
Baadhi ya wachezaji wa Iraq wakishangilia baada ya kukata tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia ushindi wa 2-1 walioupata dhidi ya Bolivia. Picha na Mtandao Iraq imekuwa timu ya ...
Dawa za kulevya aina ya mirungi ikiteketezwa katika eneo la wazi katika eneo la dampo la polisi wilayani Same, Mkoani Kilimanjaro. Same. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), ...
Guadalajara, Mexico. Bao pekee alilofunga Axel Tuanzebe katika mchezo wa mchujo dhidi ya timu ya Taifa ya Jamaica limetosha kuirudisha DR Congo katika michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika Juni ...
Dar es Salaam. Juhudi za Tanzania kuhamisha ununuzi wa umma kidijitali zimeanza kuonyesha matokeo baada ya taasisi kuokoa Sh13.3 bilioni ndani ya mwaka mmoja na Sh35 bilioni ndani ya miaka miwili.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results