Kila mwaka tarehe 8 Machi, dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake, tukio linalokumbusha safari ndefu ya wanawake kuelekea usawa wa kijinsia na haki za kisheria. Siku hii ni fursa ya ...
Eid El-Fitri ni miongoni mwa sikukuu kubwa na zenye heshima kubwa katika Uislamu, ikija mara moja kila mwaka baada ya kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ni siku ya furaha, shukrani na ...
Leo hii, tunasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani, siku maalum ya kutambua na kuenzi thamani ya lugha ya Kiswahili kama chombo muhimu cha mawasiliano, utambulisho wa tamaduni, na daraja la maelewano ...
Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa yanatarajiwa kufanyika Desemba 1 mwaka huu mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dk. Philip ...
Siku ya Wanawake Duniani Machi 8 ni siku ya kimataifa ya wanawake. DW inaadhimisha siku hiyo kwa kuangazi masuala yanayowahusu wanawake katika maeno mbalimbali duniani.