ZAIDI ya theluthi ya wanawake wanaofanya kazi duniani wameajiriwa katika miradi ya kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Wana majukumu mengi kama uhifadhi, usafirishaji, usindikaji na usambazaji, ...
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, juzi walishindwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya kimataifa kwa mara ya tatu mfululizo. Ni baada ya kulazimishwa suluhu dhidi ya MC Alger kutoka nchini ...