Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) imeongeza wiki mbili zaidi za kupokea maoni kutoka kwa wadau wa usafirishaji kuhusu mapitio ya nauli baada ya upandaji wa bei za mafuta ...
Naibu Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi, akizungumza bungeni leo Jumanne, Aprili 8, 2026 jijini Dodoma wakati akijibu maswali ya wabunge. Dodoma. Katika kipindi cha Julai 2025 hadi Februari, 2026, ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya siku tatu kuhusu uwezekano wa mvua kubwa zitakazoweza kusababisha mafuriko ya katika baadhi ya mikoa ya Pwani, ikiwamo Dar es ...
Maswa. Malalamiko ya wafanyabiashara na wananchi yameongezeka katika Mnada wa Maswa Mjini baada ya marundo ya taka kuonekana yakikaa kwa muda mrefu bila kuondolewa, hali inayodaiwa kuhatarisha afya za ...
Dar es Salaam. Leo ni miongo mitano na miaka minne tangu alipotwaliwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, huku wadau wa siasa wakimkumbuka kwa misingi aliyoiasisi, ambayo baadhi ...
Dar es Salaam. Wakati huduma mbalimbali zikiendelea kuathirika kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mapendekezo manne kuleta unafuu kwa wananchi ...
Dar es Salaam. Jamii imekumbushwa umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti ya kulinda utajiri sambamba na juhudi za kuujenga, ili kuhakikisha usalama wa kifedha wa muda mrefu. Akizungumza katika kongamano ...
Wanaanga wanne kutoka Shirika la anga la Marekani NASA wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari kuelekea mwezini Aprili Mosi mwaka huu. Dar es Salaam. Zikiwa zimepita siku sita tangu ...
Dar es Salaam. Mchezo wa hatua ya 16 bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB baina ya Simba na Dodoma Jiji, Jumapili Aprili 12, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha badala ya Meja ...
Hata ikitokea timu hizo zikakutana katika Kombe la Shirikisho la CRDB na Simba ikapata ushindi, bado Azam FC itabakia kuwa mtemi wake kwa vile hadi sasa timu hizo zimekutana mara tatu ambapo mara ...
Dar es Salaam. Ilianza kama siku nyingine za kawaida katika soko la Simu 2000 jijini Dar es Salaam, kelele za wafanyabiashara kuwavuta wateja, pamoja na makondakta wa daladala kuwahimiza abiria ...
Mikoani. Watu watano wamefariki dunia katika matukio matatu tofauti yaliyotokea jana na leo, Aprili 5, 2026. Vifo hivyo vimetokana na matukio ya wachimbaji kufukiwa na kifusi, wengine wakifariki kwa ...