Wananchi mkoani Iringa wakiwa katika harakati za kutafuta usafiri katika stendi ya bajaji Miyomboni Manispaa ya Iringa. Picha na Christina Thobias Iringa. Kupanda kwa bei ya mafuta kulikotangazwa na ...
Arusha. Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemwachia huru Tajiri Dibwa aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha kilo 109.28 za dawa za kulevya aina ya bangi, baada ya ...
Hakika Sharia tukufu ya Kiislamu ni kamili na yenye kujumuisha kila kitu, inayofaa kwa kila zama na kila mahali. Miongoni mwa ukamilifu wake ni kwamba imejibu kila suala na kutoa hukumu ya Kisharia ...
Jopo la wataalamu kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina wakiwa katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere kwa ajili ya mapitio ya bajeti za taasisi na mashirika ya umma. Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa ...
Morogoro. Wakulima wa mpunga wanaotegemea mvua nchini wameeleza namna watafiti wa Mradi wa Mpunga Himilivu kwa Mabadiliko ya Tabianchi na Rafiki kwa Mazingira barani Afrika (CERA) walivyowasaidia kwa ...
Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kwa sasa hakuna changamoto ya upatikanaji wa huduma ya umeme nchini, isipokuwa pale hitilafu zinapojitokeza kwa wateja mmoja mmoja. Hata ...
Habari itakayowafanya mashabiki wa Yanga kucheka kwa furaha ni hii baada ya Shirikisho la Soka Tanzania kufanya maamuzi juu ya rufaa ya klabu ya Simba kuhusu kiungo wa mabingwa hao Mohammed Damaro.
Winga wa kulia wa Simba, Libase Gueye wakati akijaribu kumtoka mchezaji wa Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu iliopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Simba ikishinda 2-0 Aprili 2, 2026. Picha ...
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayeshughulikia Sera za Uchumi na Fedha, Dk Yamungu Kayandabila. Picha na Mtandao Dar es Salaam. Mfumuko wa bei nchini unatarajiwa kubaki ndani ya wigo wa ...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri na kutengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ...
Dar es Salaam. Katika jitihada za kuchochea matumizi ya simu janja na kupanua upatikanaji wa huduma za kidijitali, Yas imetambulisha promosheni ya muda mfupi katika kipindi hiki cha Pasaka inayotoa ...
Maofisa kutoka mamlaka ya dawa na vifaa tiba Tanzania (TMDA) wakiwa kwenye gereza kuu la Isanga Jijini Dodoma kwa ajili ya kutoa msaada wa dawa na vifaa tiba katika gereza hilo leo Aprili 2, 2026 ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results