MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gibril Sillah amesema Simba na Yanga zinacheza kwa viwango vya juu, lakini inapotokea wanataka ...
Katika hali isiyo ya kawaida mama mzazi wa aliyekuwa mmiliki na mkurugenzi wa Kituo cha Michezo cha Alliance kilichopo jijini ...
KAMA unadhani klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imeamua kumpotezea kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’, baada ya ofa yao waliyoiwasilisha Azam FC, pole yako ...
MANCHESTER United imeonyesha kiwango cha juu na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya FCSB kwenye mchezo mkali wa Europa League.
MKONGWE katika muziki wa Uganda, Bebe Cool anazidi kuchanja mbuga na kibao chake 'Circumference' alichoachia hivi karibuni.
MWENYEKITI wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, leo Januari 30, 2025 amefanya kikao na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima, baada ...
STAA mahiri wa muziki wa Rwanda, Bruce Melodie ameachia albamu l mpya iitwayo ‘Colorful Generation’ ambayo ni moto wa kuotea ...
KLABU ya Pamba Jiji imemtambulisha, Peter Rehett kuwa ofisa mtendaji mkuu (CEO), ikiwa ni takriban miezi 10 nafasi hiyo ikiwa ...
SIMBA inarudi uwanjani wikiendi hii ikiwa ugenini ili kutaka kulinda hadhi iliyonayo ikiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara ...
AKIWA ndio kwanza ameitumikia Yanga kwa misimu miwili na nusu tu, mabilioni ya pesa yanamuita Clement Mzize, akiwindwa na ...
MAPEMA wiki hii Whozu ametangaza kuachana na Too Much Money, lebo ya muziki ambayo amefanya nayo kazi kwa takribani miaka ...
ALIYEKUWA kocha wa Yanga raia wa Argentina, Miguel Gamondi amekubali kujiunga na timu ya Al Nasr ya Libya baada ya kukaa nje ...