Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amekemea vikali kauli za madai ya baadhi ya wananchi kuwa wameinunua Serikali, huku akisisitiza kuwa Serikali haiko chini ya mtu au kundi lolote.
TANZANIA is targeting more than 344,000 jobs from 1,148 investment projects pegged at $15.32bn registered from July 2025 to September 2026.
Dar es Salaam. A TOTAL of 970,876 candidates, equivalent to 85.22 percent of the 1,139,273 candidates whose results were released, have passed the 2026 Primary School Leaving Examination (PSLE).
Dina Akyoo (45), maarufu kwa jina la Mama Shio, mkazi wa Usa-River wilayani Arumeru, mkoani Arusha, anadaiwa kuuawa kwa kuchinjwa na mwanaume anayetajwa kuwa mpenzi wake, Godwin Geofrey (36).
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa watahiniwa 970,876 sawa na asilimia 85.22 ya watahiniwa 1,139,273 wenye matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) mwaka 2026 ...
A MENTAL health specialist has urged members of the public to make regular mental health checks part of their healthcare routine, warning that early identification of psychological problems can help ...
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed the Commission for Mediation and Arbitration (CMA) to resolve labour disputes impartially and in accordance with the law.
TANZANIA’S industrialisa tion ambitions could receive a significant boost if the gov ernment overhauls its frag mented regulatory system, integrating 119 institutions, rationalising fees and merg ...
EVERY additional rise in global temperatures could make life increasingly difficult for millions of people, intensifying ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka lengo la kukusanya Sh trilioni 42 katika mwaka wa fedha 2025/26, kutoka Sh trilioni 37 zilizokusanywa mwaka uliopita, huku ikisisitiza umuhimu wa kukuza viwand ...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amelieleza Jopo la Wataalam wa Kimataifa la Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (IPCC), kuwa Tanzania inaweka nguvu kubwa katika uwekezaji wa nishati jadi ...