Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyanga imesema kukamilika kwa jengo lake lililogharimu shilingi bilioni tatu ...
ZAIDI ya milioni 251 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya katika Kata ya Uguguno wilayani Mkalama mkoani Singida.
ALIYEKUWA mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe, amesema Hayati Mzee Edwin Mtei (94) ...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajiwa kutoa huduma za upimaji wa afya ya moyo kwa wakazi wa Jiji la Dar es ...
MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imefanya kongamano la uwekezaji wa ndani mkoani Geita, ...
MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Chirukile, amewakumbusha wafanyabiashara umuhimu wa kufanya makadirio na malipo ya kodi ...
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) imetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya kujitolea kwa vijana wa Tanzania Bara na visiwani ...
JOPO la wanasheria 36 kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kwa kushirikiana na wanasheria 40 kutoka taasisi za umma ...
Mbunge wa Mbinga Vijijini na Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameendelea na ziara yake katika Kata za Mkako na ...
FUNDI selemala Hamza Omary (38) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo ya Mkuyuni, Wilaya ya Nyamagana jijini ...
Katika kuhakikisha kikosi chake kinarejea kwenye ubora wa juu, Simba imemtambulisha rasmi, Ismael Toure. Nyota huyo tayari ...
KESI iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar ...