Wananchi mkoani Iringa wakiwa katika harakati za kutafuta usafiri katika stendi ya bajaji Miyomboni Manispaa ya Iringa. Picha na Christina Thobias Iringa. Kupanda kwa bei ya mafuta kulikotangazwa na ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Aprili 3, 2026 katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza. Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa ...
Arusha. Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemwachia huru Tajiri Dibwa aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha kilo 109.28 za dawa za kulevya aina ya bangi, baada ya ...
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo, kimelaani uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wa kusitisha leseni ya kituo cha televisheni ya mtandaoni cha Jambo TV, kikieleza hatua hiyo ni ...
Jopo la wataalamu kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina wakiwa katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere kwa ajili ya mapitio ya bajeti za taasisi na mashirika ya umma. Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa ...
Morogoro. Wakulima wa mpunga wanaotegemea mvua nchini wameeleza namna watafiti wa Mradi wa Mpunga Himilivu kwa Mabadiliko ya Tabianchi na Rafiki kwa Mazingira barani Afrika (CERA) walivyowasaidia kwa ...
Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kwa sasa hakuna changamoto ya upatikanaji wa huduma ya umeme nchini, isipokuwa pale hitilafu zinapojitokeza kwa wateja mmoja mmoja. Hata ...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga akizungumza na wadau wa biashara wakati akifunga rasmi maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Duniani hafla Iliyofanyika Dar es Salaam leo. Dar es Salaam.
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayeshughulikia Sera za Uchumi na Fedha, Dk Yamungu Kayandabila. Picha na Mtandao Dar es Salaam. Mfumuko wa bei nchini unatarajiwa kubaki ndani ya wigo wa ...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri na kutengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ...
Dar es Salaam. Katika jitihada za kuchochea matumizi ya simu janja na kupanua upatikanaji wa huduma za kidijitali, Yas imetambulisha promosheni ya muda mfupi katika kipindi hiki cha Pasaka inayotoa ...
Mkuu wa wilaya ya songwe Fadhili Nkurlu, akiwa ofsini kwake akizungumzia mgogoro wa ardhi kati ya wachimbaji na uongozi wa kijiji Cha Patamela. Songwe. Wachimbaji wadogo zaidi ya 100 wa dhahabu katika ...